WhatsApp Group Join Now

Nafasi za Kazi Hospital ya Rufaa Bukoba

 

Nafasi za Kazi Hospital ya Rufaa Bukoba

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Bukoba, anawaalika Watanzania wenye sifa kuomba nafasi ya kazi ya mkataba katika nafasi zifuatazo:-

1. AFISA TEHAMA - NAFASI 2

2. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU - AFYA - Nafasi 6

3. AFISA MUUGUZI MSAIDIZI II - NAFASI 4

4. MTEKNOLOJIA MIONZI DARAJA II NAFASI 4

5. MSAIDIZI WA AFYA NAFASI 5

6. MPISHI II NAFASI 1

Mambo ya kuzingatia kwa waombaji:

  • ​Ni Mtanzania.

  • ​Hajawahi kufungwa kwa makosa ya jinai.

  • ​Hajawahi kufukuzwa/kupunguzwa toka Serikalini.

  • ​Umri kuanzia miaka 18 hadi 45.

  • ​Barua zote za maombi ziambatishwe na vivuli vya vyeti vya kuzaliwa, kitambulisho cha uraia, vyeti vya elimu na ujuzi, Maelezo binafsi (CV) yaliyoambatana na wadhamini wawili, leseni hai pamoja na picha moja (1) ya rangi (Passport size).


DOWNLOAD PDF HERE


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad