Nafasi za Kazi Kutoka Magu
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Magu anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tatu (03) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:
1. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II - NAFASI (3)
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA,
1078 BARABARA YA MUSOMA,
334021078 ILUNGU,
S.L.P. 200,
MAGU - MWANZA.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa Kielekroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa “Recruitment Portal”.Tangazo hili limetole.