WhatsApp Group Join Now

Nafasi za Kazi Namtumbo District Council

 

Nafasi za Kazi Namtumbo District Council

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Namtumbo anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (05) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:

1. DEREVA II - NAFASI 02

2.  MWANDISHI MWENDESHA OFISI II - NAFASI 03

Download Pdf ya Tangazo la Nafasi za Kazi Namtumbo District Council

Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira kupitia anwani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa (‘Recruitment Portal’)

Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: -

Mkurugenzi Mtendaji (W),

2 Barabara ya Boma,

S.L.P 55,

57382 NAMTUMBO.

Soma Majukumu Pamoja na Sifa za Muombaji Katika Pdf Hapo Chini. Download Pdf yenye Maelekezo Zaidi.


DOWNLOAD PDF YA TANGAZO LA AJIRA HAPA



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad