CNS GROUP imetangaza nafasi 500 za kazi za udereva.
Faida kwa Wafanyakazi:
1. Mshahara unaolipwa kwa wakati
2. Posho za kila siku kwa wakati
3. Bima ya Afya kupitia NHIF
4. Motisha ya utendaji (Performance-Based Incentive)