Nafasi ya Kazi Sumbawanga 18-09-2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga anawatangazia Watanzania wenye sifa ya kufanya kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kuomba nafasi kumi na tatu (13) zilizo tajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali cha mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb.Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 na kibali cha mwaka wa fedha 2023/2024 chenye Kumb.Na.FA.97/228/01"/06 cha tarehe 06/04/2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
1. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II- NAFASI 03
2. DEREVA DARAJA II - NAFASI 8
Download Pdf ya Tangazo yenye Maelekezo Yote ya Kina kwa kila nafasi - Sifa ya Muombaji, Majukumu na Masharti ya Jumla.