Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlakaka Serikali za Mitaa (MDA’s AND LGA’s) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 199 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
Download Pdf za Tangazo Uweze kusoma Masharti ya Kazi, Mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kutuma maombi, Jinsi ya kutuma maombi yote utayasoma kwenye pdf ya Tangazo.
Moja ya Kada ambazo dirisha lake la kutuma maombi lipo wazi kwa sasa ni ualimu, wewe kama Mwalimu soma tangazo la kazi kwa makini kisha tuma maombi mapema.