Nafasi za Kazi Mbeya HJFMRI
KATIBU TAWALA WA MKOA WA MBEYA, KWA KUSHIRIKIANA NA MDAU HJMRI ANAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE NAFASI ZA KAZI ISHIRINI (16) ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA ZA AFYA WATAKAOFANYA KAZI KATIKA HALMASHAURI ZA MKOA WA MBEYA, NAFASI HIZO NI;
1. DAKTARI II,
2. AFISA TABIBU II,
3. AFISA TABIBU MSAIDIZI,
4. AFISA MUUGUZI MSAIDIZI II,
5. MUUGUZI II,
6. MTEKNOLOJIA MAABARA (LABORATORY TECHNOLOGIST) II,
7. AFISA MTEKNOLOJIA MAABARA (LABORATORY SCIENTIST) II,
8. MTUNZA KUMBUKUMBU MSAIDIZI II,
9. AFISA TEHAMA
WANANCHI WENYE SIFA KWA KILA KADA WAOMBE NAFASI HIZO KWA KUZINGATIA SIFA NA NGAZI YA MSHAHARA KAMA ZILIVYOAINISHWA KWENYE TANGAZO LILILOAMBATANISHWA (EMPLOYMENT OPPORTUNITES –MBEYA).
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 12 SEPTEMBA, 2025
To apply please fill in the Google form in the link below and submit your application to the email below:
1. Google form link:
https://forms.gle/oUjYjWbFjL2PB8nf6
2. Email address for an application:
partnersapplications2023@gmail.com
All applications submitted should have a cover letter, curriculum vitae (CV) and copies of academic certificates. Please write your full name and the position you are applying for in the email subject.
The application deadline is on 12th September 2025