Nafasi za Kazi at Tarime Dc
The Executive Director of Tarime District Council announces to all qualified Tanzanians to apply for ten (10) job vacancies in this Council, following approval from the President’s Office, Public Service Management and Good Governance, with the following breakdown:-
1. MWANDISHI WAENDESHA OFISI DARAJA LA II NAFASI TANO – (05)
2. DEREVA DARAJA LA II NAFASI (05)
Application Timeline
Mwisho wakutuma maombi ya kazi ni tarehe 12 Septemba, 2025.
Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
S.L.P 16,
TARIME.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa Kielekroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa “Recruitment Portal”.