Nafasi Mpya za Kazi Mbulu Dc
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Mbulu anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi kazi nne (4) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali Kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:
1. DEREVA DARAJA LA II NAFASI NNE (04)
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
1. Inspect the vehicle before and after the trip to determine its safety condition.
2. Transport staff to various destinations for official duties.
3. Perform minor vehicle repairs.
4. Maintain and record all journeys in the vehicle logbook.
5. Collect and distribute various documents.
6. Clean the vehicle.
7. Perform other duties as may be assigned by the supervisor.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28 Septemba, 2025
Mkurugenzi
Halmashauri ya Mbulu,
S.L.P 74
MBULU.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa 'Recruitment Portal').
DOWLOAD PDF OF FULL DETAILS HERE