Nafasi Mpya za Kazi Kutoka TAWIRI 20 Position Kutoka Taasisi ya Tanzania Wildlife Research Institute. Nafasi hizo ni;
-
Research Assistant (Veterinary Medicine) - 2
-
Field Assistant II (Laboratory Assistant) - 4
-
Field Assistant II (Wildlife Management) - 2
-
Research Assistant (Wildlife Management) - 5
-
Research Officer II (Beekeeping) - 1
-
Research Officer (Wildlife Management) - 8
-
Research Assistant (Beekeeping) - 1
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI Nafasi za Kazi Kutoka Veta.
1. Login kwenye akaunti yako ya ajira portal au kama huna akaunti jisajili ili uweze kutuma maombi.
2. Baada ya Kulog in nenda kwenye module ya Vacancies kisha bonyeza
3. Ajira zote za Veta zitafunguka soma qualifications kwa kila nafasi itakayoendana na taaluma yako bonyeza apply kufanya application. Hakikish umeandaa barua ya maombi ya kazi.