WhatsApp Group Join Now

Matokeo ya Mock Darasa la Nne 2025 Mbeya, Rukwa, Songwe, Ruvuma na Njombe

 

Matokeo ya Mock Darasa la Nne 2025 Mbeya, Rukwa, Songwe, Ruvuma na Njombe

Tangazo la Matokeo ya Mock Darasa la nne 2025 Mbeya, Rukwa, Songwe, Ruvuma na Njombe. Haya ni Matokeo ya Mtihani wa Mock uliofanyika kwa lengo la kuwapima wanafunzi wa Darasa la nne kabla ya Mtihani wa STNA Necta Exam 2025.

Jinsi ya Kutazama Matokeo ya Mock Darasa la Nne 2025 Mbeya, Rukwa, Songwe, Ruvuma na Njombe

1. Gusa batani yenye rangi nyekundu below.

2. Ukurasa mpya wa Matokeo kutoka Website ya lusaelimu utafunguka.

3. Shuka chini ya ukurasa huo na kubonyeza batani ya rangi nyeusi. 

4. Page ya matokeo ikionesha mikoa itafunguka ambayo inafanana na template ya matokeo ya Necta. 

5. Utachagua mkoa na wilaya ilipo shule ya mwanafunzi wako.

ANGALIA MATOKEO KATIKA WEBSITE HII YA LUSAELIMU

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad