Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinapenda kuuarifu umma kuwa mchakato wa udahili wa awamu ya kwanza wa waombaji waliotuma maombi ya kujiunga na programu mbalimbali za Stashahada (Diploma) kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026 umekamilika. Orodha ya majina ya waombaji waliokubaliwa imeambatanishwa pamoja na tangazo hili.
Wanafunzi wote waliokubaliwa wataweza kupakua barua zao za udahili kupitia mfumo wa udahili wa UDOM (http://application.udom.ac.tz) kuanzia tarehe 3 Septemba, 2025.
UDOM inapenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wanafunzi wote waliokubaliwa na kuwakaribisha kwa dhati chuoni.
Jinsi ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga Chuo Kikuu cha Dodoma - UDOM - Diploma Programmes.
1. Tembelea website rasmi ya Udom University in Tanzania kwa link udom.ac.tz
2. Shuka chini mpaka sehemu ya Announcement
3. Chagua Selection za Diploma au Degree(Bachelor's Programmes) kudownload Pdf ya Majina.
SELECTION ZA VYUO VINGINE GUSA HAPA