Nafasi za Kazi Rungwe Dc - Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Rungwe anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na moja (11) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:
1. DEREVA II – NAFASI 4
2. MWANDISHI MWENDESHA OFISI II – NAFASI 3
3. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II- NAFASI 4
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 01 Oktoba, 2025
Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE
S. L. P 148
RUNGWE
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anauani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ . Anuani hii inapatikana pia kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’.
Download Pdf ya Tangazo la Nafasi za Kazi Rungwe Dc lenye Maelekezo yote (Majukumu na Sifa ya Muombaji)
ANGALIA TANGAZO LETU (DONATION)