Nafasi za Kazi at RORYA District Council
The Executive Director of Rorya District Council announces to all qualified Tanzanians to apply for fourteen (14) job vacancies in this Council, following approval from the President’s Office, Public Service Management and Good Governance, with the following breakdown:-
MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II–NAFASI (02)
SIFA ZA MWOMBAJI - MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA II
Awe amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (Form IV) au Kidato cha Sita (Form VI), aliyefuzu mafunzo ya Stashahada ya uhazili (NTA LEVEL 6), Awe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 100 kwa dakika moja.Awe amepata mafunzo ya Komputa kutoka chuo chochote kinachotambulika na Serikali na kupata cheti katika “Program za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher”.
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II - NAFASI (03)
SIFA ZA MWOMBAJI - MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II
Awe na Elimu ya kidato cha Nne (Form IV) au cha Sita (Form VI) aliehitimu mafunzo ya stashahada/Diploma (NTA Level 6) katika fani ya Masijala kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, wenye ujuzi wa kompyuta.
DEREVA DALAJA LA II - NAFASI (09)
SIFA ZA MWOMBAJI - DEREVA DARAJA II
Kuajiriwa wenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali Pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
S.L.P. 250,
RORYA.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO