Kufuatia kukamilika kwa usaili wa waombaji wa nafasi za kazi kwa kada mbalimbali zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama tarehe 03 Juni, 2025, Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama anawatangazia waombaji wafuatao hapa chini kuwa, wamefaulu usaili na kuchaguliwa kuajiriwa katika Utumishi wa Mahakama. Wahusika wote waangalie barua zao za ajira kwenye baruapepe zao (Email) na kufuata maelekezo yaliyotolewa kwenye barua husika.
Kwa wale wote ambao majina yao hayakuorodheshwa kwenye tangazo hili basi wafahamu kuwa hawakufanikiwa kupata nafasi hivyo wajaribu tena pale nafasi nyingine zitakapo tangazwa.
Utakapoona jina lako angalia ujumbe kutoka JSC kupitia email yako uliyojisajili kupata barua za placement. Maelezo yote muhimu yatatolewa kwenye barua hiyo hakikisha unafuata maelekezo yote kwa wakati.