Majina ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Sua 2025 Agricultural Officers - Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine University In Tanzania Kimetangaza Majina ya Ambao Wamepata Ajira na kutoa maelekezo kuwa Kwa wote waliochaguliwa watapewa taarifa kuhusu Working Station(Kituo cha Kazi) pamoja na Reporting Dates (Tarehe ya Kuripoti Kazini)
Jinsi ya Kutazama Majina ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Sua 2025 Agricultural Officers
Hapo chini kuna sheet ya Majina ya waliochaguliwa nafasi ya Agriculural Officer, kama mtandao utakuwa slow unaweza ukaona blank (Tupu). Refresh Ukurasa huu kama hautoona majina ya walioitwa kazini.
Gusa alama ya Kujumlisha Kuongeza Ukubwa(Zoom) wa Embeded Pdf